Gremio Foot-Ball Porto Alegrense

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gremio ni timu ya mpira wa miguu ya Brazil iliyoanzishwa mnamo mwaka 1903 na Mwingereza Andy Fairbank na Mjerumani Paul Choclin na wenzao.

Gremio mpaka sasa ina makombe 37 ya campeonanto gaucho,mawili ya campeonanto brasilielo serieaA,moja la supercopa do brazil pia gremio ilishawahi kuchukua kombe moja la mabara. Rangi za jezi za timu ya gremio ni nyeusi nyeupe na ya bluu.pia timu hii ndio timu aliyotokea mchezaji wa kimataifa wa brazil Ronaldinho Gaucho kabla ya kwenda Barcelona mwaka 2003.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Gremio Foot-Ball Porto Alegrense kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.