Nenda kwa yaliyomo

Gregory O'Kelly

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gregory John O'Kelly S.J. AM (alizaliwa 10 Agosti 1941) ni askofu Mjesuiti kutoka Australia na askofu mstaafu wa Port Pirie katika Kanisa Katoliki.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.