Nenda kwa yaliyomo

Greg Haughton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gregory Haughton (alizaliwa 10 Novemba 1973) ni mwanariadha wa Jamaika wa mbio za mita 400 ambaye alishinda medali tatu za Olimpiki, moja(1) mwaka 1996 na mbili(2) mwaka 2000 katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto. Ubora wake binafsi kwa mita 400 ulikuwa sekunde 44.56. [1]

  1. "Greg Haughton". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-11-30. Iliwekwa mnamo 2025-04-08.{{cite web}}: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Greg Haughton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.