Nenda kwa yaliyomo

Graphics processing unit

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
GPU

Kichakataji cha michoro (GPU) ni mzunguko wa kielektroniki maalum ulioundwa awali kwa ajili ya usindikaji wa picha za kidijitali na kuharakisha michoro za kompyuta. GPU inaweza kupatikana kama kadi ya video ya kujitegemea au kuunganishwa moja kwa moja kwenye bodi mama, simu za mkononi, kompyuta binafsi, vituo vya kazi, na koni za michezo. Baada ya kubuniwa kwake, GPU iligunduliwa kuwa muhimu pia kwa mahesabu yasiyo ya michoro, hasa kwa matatizo yanayohitaji muundo wa sambamba (parallel structure). Matumizi mengine ni mafunzo ya mitandao ya neural na uchimbaji wa sarafu za kidijitali (cryptocurrency mining)[1].


Tanbihii

[hariri | hariri chanzo]
  1. Hopgood, F. Robert A.; Hubbold, Roger J.; Duce, David A., whr. (1986). Advances in Computer Graphics II. Springer. uk. 169. ISBN 9783540169109. Perhaps the best known one is the NEC 7220.
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.