Grant Fisher

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Grant FIsher mwaka 2017

Grant Fisher (alizaliwa Aprili 22, 1997) ni mzaliwa wa Kanada ila ni mwanariadha wa nchini Marekani. Alipokuwa shuleni alipewa nafasi ya mchezaji bora wa mwaka katika msimu wa 2013–2014 na 2014–2015 . Alipitia chuo kikuu cha stanford Novemba 16, 2014[1]. Mnamo Juni 4, 2015, alishika nafasi ya saba ya mashindano ya Shule za sekondari marekani kwa wanafunzi kwa kukimbia maili moja kwa dakika nne. Fisher aliiwakilisha Marekani mwaka 2014 katika mashindano ya mabwingwa wa Dunia kwa vijana kwenye riadha katika mita 1500.

Fisher alishinda mashindano ya NCAA ya mwaka 2017 katika mita 5000 (14:35.60),na kuwa mmarekani wa kwanza toka miaka 28 kupita.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Grant Fisher Picks Stanford - Flotrack". web.archive.org. 2015-09-24. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-24. Iliwekwa mnamo 2021-10-02.