Grand Falls-Windsor, Newfoundland and Labrador

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Jumba la makumbusho la Mary March, lililopo ndani ya mji wa Grand Falls-Windsor.
Ramani ya Grand Falls-Windsor, Newfoundland and Labrador
Grand Falls-Windsor
Nchi Kanada
Mkoa Newfoundland and Labrador
Idadi ya wakazi
 - 13,558
Tovuti: www.grandfallswindsor.com

Grand Falls-Windsor ni mji wa mkoa wa Newfoundland na Labrador.

Eneo lake ni km² 148.27.

Idadi ya wakazi ilihesabiwa 2001 kuwa watu 13,558. Ni mji mkubwa wa tatu katika mkoa huu.

Mji ulianzishwa mwaka 1991.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Flag Canadian template.gif Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Grand Falls-Windsor, Newfoundland and Labrador kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.