Nenda kwa yaliyomo

Grace Nkansa Asante

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Grace Nkansa Asante (akijulikana kama Ofori-Abebrese; alizaliwa mwaka 1965) ni mhadhiri kutoka nchini Ghana katka kitivo cha Sayansi ya Jamii katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Kwame Nkrumah (KNUST). Pia, anatambulika kama mwanamke wa kwanza wa Ghana kuwa Profesa wa Uchumi. [1]

  1. "Interview with Grace Nkansa Asante". Times Higher Education (THE) (kwa Kiingereza). 1 Agosti 2024. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 Agosti 2024. Iliwekwa mnamo 14 Mei 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Grace Nkansa Asante kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.