Nenda kwa yaliyomo

Grace Coleman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Grace Coleman (29 Aprili 194327 Agosti 2009) alikuwa mwanasiasa wa Ghana na Mbunge wa jimbo la Effiduase-Asokore, akiwakilisha Bunge la Nne la Jamhuri ya Nne ya Ghana.[1]

Maisha ya awali na elimu

[hariri | hariri chanzo]

Coleman alizaliwa katika Effiduase, Mkoa wa Ashanti. Alisoma katika Wesley Girls' High School kuanzia mwaka 1962, alipata vyeti vya Ordinary na Advanced Level. Baadaye aliendelea na masomo katika University of Ghana, akisomea Uchumi na kupata shahada ya Bachelor. Coleman alipata shahada ya uzamili (Master's degree) katika Vanderbilt University nchini Marekani mwaka 1979, na pia alipata cheti cha Uongozi na Maendeleo katika Harvard University mwaka 1998.

  1. "NPP Mourns Grace Coleman". Modern Ghana (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2 Agosti 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Grace Coleman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.