Nenda kwa yaliyomo

Grace Asare

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Grace Asare (alizaliwa 12 Oktoba 1989) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa wanawake kutoka nchini Ghana anayekipiga kama beki katika timu ya taifa ya wanawake ya Ghana.

Alikuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo katika Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa timu za wanawake mnamo mwaka 2014.

Katika ngazi ya klabu, aliwahi kuchezea klabu ya mpira ya Reformers Ladies nchini Ghana.[1]

  1. "Black Queens name final 21 for AWC". ghanafa.org. 27 Septemba 2014. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Oktoba 2016. Iliwekwa mnamo 26 Oktoba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Grace Asare kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.