Grégoire Świderski
Mandhari
Grégoire Jean Stanislas Świderski (amezaliwa Oktoba 5, 2005) ni Mchezaji wa soka wa kulipwa anayecheza kama kipa kwa timu ya Deportivo Alavés B. Alizaliwa Ufaransa, lakini ni mchezaji wa kimataifa wa vijana wa Kanada.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Girondins4Ever - Bordeaux va faire signer un contrat stagiaire pro à trois jeunes talents du club !". 22 Mei 2023.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Girondins4Ever - Grégoire Swiderski : "J'adore les Girondins où je joue depuis les U12. J'aimerais faire mes débuts avec mon club"". 9 Juni 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Iñigo, Iñaki (30 Agosti 2024). "El Alavés refuerza su filial con Swiderski y Makagni y cede a Julen Jon y Ariel". Diario de Noticias de Álava.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Grégoire Świderski kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |