Nenda kwa yaliyomo

Goulmou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Goulmou ni mkoa mashariki mwa Burkina Faso. Mkoa huo una eneo la km² 18,143 na idadi ya wakazi mwaka 2024 ilikuwa 2,240,200[1].

Makao makuu yako mjini Fada N’Gourma.

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Goulmou kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.