Nenda kwa yaliyomo

Gordon Wheeler

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

William Gordon Wheeler (5 Mei 191021 Februari 1998) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Uingereza na Askofu wa Leeds.

Kabla ya hapo, alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo la Middlesbrough na kama Askofu wa jimbojina la Theudalis.[1]

  1. "Bishop Wheeler to retire", The Times, 24 August 1985 p. 10.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.