Nenda kwa yaliyomo

Gordon Lightfoot

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gordon Meredith Lightfoot Jr. (17 Novemba 19381 Mei 2023) alikuwa mwimbaji na mwandishi wa nyimbo na mpigaji-gitaa kutoka Kanada aliyetambulika kimataifa katika muziki wa folk-rock, na muziki wa country.[1]

  1. Jennings, Nicholas (Oktoba 30, 2018). Lightfoot. Penguin Random House Canada. ISBN 9780143199212.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gordon Lightfoot kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.