Google Chrome

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Google Chrome

Google Chrome (inayojulikana kama Chrome) ni kivinjari wavuti kilichotengenezwa na Google LLC. Iliyotolewa mara ya kwanza mwezi Septemba 2008, kwa ajili ya Microsoft Windows, na baadaye ikafikishwa kwenye Linux, MacOS, iOS na Android.

Mafanikio yake kuundwa kwa Google Chrome imesababishia Google kupanua jina la "Chrome" kwenye bidhaa nyingine mbalimbali kama vile: Chrome OS, Chromecast, Chromebook, Chromebit, Chromebox na Chromebase.