Nenda kwa yaliyomo

Goodlucky Ole-Medeye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Goodlucky Joseph ole-Medeye (amezaliwa 14 Machi 1958) ni mwanasiasa wa Tanzania kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) na mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi tangu mwaka 2010. Awahi kuhudumu kama Naibu waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.[1]

Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Goodlucky Ole-Medeye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.