Goodluck Joseph Ole-Medeye
Mandhari
Goodluck Joseph Ole-Medeye (amezaliwa 14 Machi 1958) ni mwanasiasa wa CCM kutoka Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi tangu mwaka 2010. Aliwahi kuhudumu kama Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.[1]