Gonzalo Lira
Gonzalo Ángel Quintilio Lira López (29 Februari 1968 - 12 Januari 2024) alikuwa mwandishi wa riwaya, mtengenezaji wa filamu na mkufunzi wa uchumba wa Chile-Marekani aliyefahamika kama Coach Red Pill.
Aliandika mtandaoni akipinga ufeministi na kuunga mkono Urusi wakati wa vita vya Ukraina mwaka 2022. Wengi walimshutumu kwa kusambaza propaganda za Kirusi. Pia aliunga mkono utawala wa kijeshi wa Pinochet wa Chile. Mnamo Aprili 2022, alidai kukamatwa na usalama wa Ukraine. Mei 2023 alikamatwa tena kwa kutetea uvamizi wa Urusi, kinyume na sheria. Baada ya kuachiliwa kwa dhamana, alijaribu kutoroka nchi. Alikamatwa tena, na akafariki kwa nimonia akiwa gerezani Januari 2024..[1][2][3][4][5][6][7][8][9][10][11][12][13][14][15][16][17][18]
Maisha ya awali
[hariri | hariri chanzo]Lira alizaliwa Burbank, California na wazazi wake waliotoka Chile. Alikulia katika maeneo ya Los Angeles, Ekuador, na Santiago. Baada ya kuhitimu shule ya upili mwaka 1985, alifundisha Kiingereza. Kisha alisoma Chuo cha Dartmouth na kuhitimu mwaka 1995 na shahada ya historia na falsafa.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "The tragic end of Gonzalo Lira: A voice silenced in Ukraine". Helsinki Times (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2024-01-13. Iliwekwa mnamo 2025-02-20.
- ↑ Fossa, Lissette (Aprili 20, 2022). "Qué se sabe de Gonzalo Lira y su misteriosa desaparición en Ucrania" [What is known about Gonzalo Lira and his mysterious disappearance in Ukraine]. INTERFERENCIA (kwa Kihispania). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Aprili 20, 2022. Iliwekwa mnamo Aprili 22, 2022.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Pérez, Graciela (Aprili 19, 2022). "Periodista chileno está desaparecido en Ucrania: Cancillería informó que se "mantiene en contacto con las entidades pertinentes"" [Chilean journalist is missing in Ukraine: Foreign Ministry reported that it “maintains contact with the relevant entities”]. La Tercera (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo Januari 17, 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Hermosilla P., Diego (Aprili 25, 2022). "La historia del chileno que dice que lo secuestró el servicio secreto ucraniano" [The story of the Chilean who says he was kidnapped by the Ukrainian secret service]. Publimetro Chile (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo Januari 21, 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Quinn, Allison (Januari 17, 2024). "U.S. Finally Confirms American Dating Coach-Turned-Kremlin Shill Died in Ukraine". The Daily Beast. Iliwekwa mnamo Januari 17, 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Fogel, Benjamin (Machi 10, 2023). "Andrew Tate Wants Everyone to Get in on the Grift". Jacobin. Iliwekwa mnamo Januari 18, 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Davis, Julia (Mei 5, 2023). "'Red Pill' Dating Coach Gonzalo Lira, Accused of Shilling for Putin, Is Arrested in Ukraine". The Daily Beast (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Mei 6, 2023. Iliwekwa mnamo Mei 7, 2023.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Zadrozny, Brandy (Juni 8, 2022). "Russian Propaganda Efforts Aided by pro-Kremlin Content Creators, Research Finds". NBC News. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Juni 10, 2022. Iliwekwa mnamo Juni 11, 2022.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Gomez Bravo, Andres (Julai 12, 2002). "Gonzalo Lira: "Escribir no es ningún misterio"" [Gonzalo Lira: "Writing is no mystery"]. La Tercera. uk. 45. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Aprili 21, 2022. Iliwekwa mnamo Aprili 22, 2022.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Baden, Denise (Desemba 10, 1996). "El hombre del million de dolares" [The million dollar man]. El Mercurio. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka (PDF) kutoka chanzo mnamo Aprili 21, 2022. Iliwekwa mnamo Aprili 21, 2022.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Albornoz, Pamela (Machi 29, 1997). "El escritor chileno mejor pagado del mundo" [The highest paid Chilean writer in the world]. Qué Pasa. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Aprili 27, 2022. Iliwekwa mnamo Januari 24, 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Colford, Paul D. (Oktoba 17, 1996). "Two for the Books: Novice Success Stories". Los Angeles Times. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Januari 18, 2024. Iliwekwa mnamo Agosti 11, 2023.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Counterparts by Gonzalo Lira (kwa Kiingereza). Kirkus Reviews. Novemba 15, 1997.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Anderson, Patrick (Mei 5, 2002). "An Unstable Ex-mercenary, a CIA Mod Squad, an Unenlightened JAG Lawyer and Assorted Baddies". The Washington Post. ProQuest 409324723. Iliwekwa mnamo Januari 21, 2023.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Rose, M.J. (Januari 8, 2002). "Preview Copies Go Digital". WIRED. Iliwekwa mnamo Januari 16, 2024.
{{cite magazine}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Cárdenas, Elisa (Septemba 17, 1997). """Tomáh Errázurih", chileno arquetípico"" [""Tomáh Errázurih", archetypal Chilean"]. La Nación. uk. 44.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Biessman, Eric (Septemba 27, 2000). "Postmortem: Raven Software's Soldier of Fortune". Game Developer. Iliwekwa mnamo Januari 21, 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Tepernam, Johnny (Aprili 27, 2005). "Tras su primer fin de semana de exhibicion cinta chilena 'Secuestro' se ubico segunda en la taquilla" [After its first weekend of release, the Chilean film 'Secuestro' ranked second at the box office]. United Press International (kwa Kihispania) (ilichapishwa mnamo Aprili 26, 2005). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Mei 11, 2022. Iliwekwa mnamo Mei 11, 2022 – kutoka gale.com.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gonzalo Lira kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |