Nenda kwa yaliyomo

Gomathi Marimuthu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gomathi Marimuthu (alizaliwa Tamil Nadu, 8 Februari 1989) ni mwanariadha wa mbio za umbali wa kati wa India ambaye alishinda medali ya dhahabu katika mbio za mita 800 za wanawake katika Mashindano ya Riadha ya Asia ya mwaka 2019 yaliyofanyika Doha, Qatar. Alipigwa marufuku kwa miaka minne baada ya kufeli mtihani wa doping. [1]

  1. "Gomathi Marimuthu".
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gomathi Marimuthu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.