Nenda kwa yaliyomo

Goliath Artists

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Goliath Artists, Inc.
AinaKampuni binafsi
Watu wakuuPaul Rosenberg (mkurugenzi)

Goliath Artists ni kampuni ya kusimamia wasanii na studio ya kurekodi muziki kutoka nchini Marekani. Ilianzishwa na rais na mwanzilishi mwenza wa Shady Records, Paul Rosenberg. Goliath Artist ina ofisi zake katika jiji la New York na Detroit, Michigan.

Usimamizi

[hariri | hariri chanzo]

Wasanii wa sasa

[hariri | hariri chanzo]
Jina Mwaka
aliosainiwa
Studio
Eminem 1999 Shady · Aftermath · Interscope
Danny Brown[1] 2013 Warp

Wasanii wa zamani

[hariri | hariri chanzo]

Goliath Records

[hariri | hariri chanzo]
Goliath Records
Shina la studio Universal Music Group
Imeanzishwa 2020 (2020)
Mwanzilishi Paul Rosenberg
Usambazaji wa studio Interscope Records
Aina za muziki
Nchi Marekani
Mahala New York
Detroit, Michigan

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Mnamo Februari 21, 2020 iliripotiwa kuwa Paul Rosenberg amejiuzulu kama mkurugenzi mtendaji wa Def Jam Recordings ili kutumia muda wake kuendesha Shady Records, Goliath Artists, na mradi wake mpya wa Goliath Records.[4] Mwaka uliofuata alitangaza msanii wake wa kwanza kwenye lebo ya Goliath Records, rapa kutoka Indiana, Vince Ash na alitoa toleo lake la kisasa la VITO kupitia Interscope.[5]

Wasanii wa sasa

[hariri | hariri chanzo]
Jina Mwaka
aliosainiwa
Matoleo
chininya lebo
Vince Ash 2021 1
  1. "Danny Brown Signs Management Deal With Goliath Artists", XXL, March 23, 2013. 
  2. "Action Bronson Joins Goliath Artists Management Home To Eminem", XXL, August 23, 2012. 
  3. "Meet Spark Master Tape, rap's hottest mystery man", Daily Dot, April 25, 2016. 
  4. Jem Aswad, Jem Aswad (2020-02-21). "Paul Rosenberg Stepping Down as Head of Def Jam". Variety (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-08-05.
  5. "Paul Rosenberg Signs Rapper Vince Ash To Goliath Records", HipHopDX, April 17, 2021. 
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Goliath Artists kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.