Golden Globe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 13:21, 11 Machi 2013 na Legobot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1011547 (translate me))
Golden Globe

Alama za Tuzo ya Golden Globe
Hutolewa kwa ajili ya Ubora katika filamu televisheni
Hutolewa na HFPA
Nchi Marekani
Imeanza kutolewa mnamo 1944
Tovuti rasmi

Golden Globe Awards au 'Tuzo za Golden Globe ni tuzo ambazo hutolewa kila mwaka na Hollywood Foreign Press Association (HFPA) kwa kutambulisha kazi zilizofanya vizuri katika kipindi cha mwaka mzima hasa katika suala zima la burudani, yaani nchini Marekani na nchi zingine za kigeni, na kuchukua mawazo zaidi ya watu hasa katika kuelezea kipi kilifanywa vizuri katika filamu na vipindi vya televisheni. Kipindi hiki hutaka kufanana kabisa na kile cha Academy Awards.[1]

Marejeo

  1. About the HFPA. www.goldenglobes.org. HFPA. Iliwekwa mnamo 2008-11-02.

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Golden Globe kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.