Nenda kwa yaliyomo

Godfrey William Mgimwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Godfrey William Mgimwa (alizaliwa 24 Agosti 1981) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa jimbo la Kalenga kwa miaka 20152020 katika uchaguzi mkuu wa Tanzania uliofanyika mwaka 2014 [1][2].

Mgimwa alizaliwa katika mkoa wa Iringa. Ni mtoto wa aliyekuwa Waziri wa fedha, William Mgimwa.

  1. http://www.parliament.go.tz/administrations/59 Ilihifadhiwa 19 Desemba 2017 kwenye Wayback Machine. Tovuti ya Bunge la Jamhuri ya Tanzania Mei 2017
  2. Tovuti ya Bunge la Tanzania Ilihifadhiwa 25 Januari 2020 kwenye Wayback Machine., iliangaliwa Mei 2017
Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Godfrey William Mgimwa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.