Nenda kwa yaliyomo

Goblin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Goblin (kwa Kikorea: 도깨비; RR: Dokkaebi) ni safu ya runinga ya Korea Kusini iliyochezwa na Gong Yoo, Kim Go-eun, Lee Dong-wook, Yoo In-na, na Yook Sung-jae.

Ilionyeshwa kwenye mtandao wa kebo wa tvN kuanzia Desemba 2, 2016, hadi Januari 21, 2017.

Iliandikwa na mwandishi maarufu wa maigizo Kim Eun-sook.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Goblin kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.