Go, Dog. Go! (mfululizo wa TV)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Go, Dog. Go![1] ni safu ya televisheni ya watoto ya Marekani-Kanada ya CGI iliyoundwa na Adam Peltzman. Imetengenezwa na DreamWorks Animation Television, na uhuishaji hutolewa na WildBrain Studios. Mfululizo ulionyeshwa kwa Netflix huko Dunia mnamo 26 Januari 2021.[2]

Wahusika[hariri | hariri chanzo]

  • Tag Barker (sauti ya Michela Luci): Mbwa wa machungwa.
  • Scooch Pooch (sauti ya Callum Shoniker): Terrier mdogo wa buluu.
  • Ma Barker (sauti ya Katie Griffin): Mbwa wa lavender.
  • Paw Barker (sauti ya Martin Roach): Mbwa wa kahawia.
  • Cheddar Biscuit (sauti ya Tajja Isen): Mbwa mweupe.
  • Spike Barker (sauti ya Lyon Smith): Mbwa nyekundu.
  • Gilber Barker (sauti ya Lyon Smith): Mbwa wa manjano.
  • Grandma Marge Barker (sauti ya Judy Marshank): Mbwa mzee wa zambarau.
  • Grandpaw Mort Barker (sauti ya Patrick McKenna): Mbwa mzee wa beige.
  • Yip Barker: Mbwa mdogo wa zambarau.
  • Frank (sauti ya David Berni): Mbwa wa manjano.
  • Beans (sauti ya Anand Rajaram): Old English Sheepdog mkubwa wa kijani.
  • Lady Lydia (sauti ya Linda Ballantyne): Mbwa wa pinki.
  • Sam Whippet (sauti ya Joshua Graham): Greyhound wa buluu.
  • Gerald (sauti ya Patrick McKenna): Mbwa wa teal.
  • Muttfield (sauti ya Patrick McKenna): Mbwa wa zambarau.
  • Manhole Dog (sauti ya Patrick McKenna): Mbwa wa beige.
  • Mayor Sniffington (sauti ya Linda Ballantyne): Mbwa wa zambarau.
  • Beefsteak (sauti ya Tajja Isen): Chihuahua wa pinki.
  • Wind Swiftly (sauti ya Ava Preston) Mbwa wa zambarau.
  • Tread Lightly: Mbwa wa teal.
  • Doug: Mbwa wa manjano.
  • Wagnes (sauti ya Judy Marshank): Mbwa wa buluu.
  • Hambonio: Mbwa nyekundu.
  • Big Dog (sauti ya Matthew Mucci): Mbwa mkubwa mweupe.
  • Little Dog (sauti ya Hattie Kragten): Mbwa mdogo wa zambarau.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. About Netflix - NETFLIX TO LAUNCH DIVERSE SLATE OF ORIGINAL PRESCHOOL SERIES FROM AWARD-WINNING KIDS PROGRAMMING CREATORS (en). About Netflix. Iliwekwa mnamo 2021-10-03.
  2. Mercedes Milligan (2021-01-06). Trailer: DreamWorks' 'Go, Dog, Go!' Speeds to Netflix Jan. 26 (en-US). Animation Magazine. Iliwekwa mnamo 2021-10-03.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Emoji u1f4fd.svg Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go, Dog. Go! (mfululizo wa TV) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.