Gloria Ehret
Mandhari
Gloria Jean Ehret (alizaliwa 23 Agosti 1941) ni mchezaji wa gofu wa kulipwa nchini Marekani. Alizaliwa Allentown, Pennsylvania. Alishinda LPGA Championship mwaka 1966, ushindi wake mkubwa pekee. Alishinda mataji 2 ya LPGA Tour.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Ehret captures LPGA crown
- ↑ "Gloria Ehret bio from LPGA Tour's official site" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2010-01-13. Iliwekwa mnamo 2007-12-20.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gloria Ehret kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |