Glenn T. Seaborg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Glenn Seaborg

Glenn Theodore Seaborg (19 Aprili 191225 Februari 1999) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza elementi nzito sana. Mwaka wa 1951, pamoja na Edwin McMillan alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Glenn T. Seaborg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.