Nenda kwa yaliyomo

Gladys Cherono Kiprono

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gladys Cherono Kiprono

Gladys Cherono Kiprono (alizaliwa 12 Mei 1983) ni mwanariadha mbiofundi wa Kenya wa muda mrefu, akishiriki katika mashindano ya track na road running. Mwaka 2012, alikua mwanamke wa kwanza kushinda 5000 metres na 10,000 metres katika African Championships.[1] Pia ameshinda Berlin Marathon mara tatu na ni mwanamke wa nane kwa kasi zaidi katika historia ya marathon hadi mwaka 2020.[2]

  1. "Eliud Kipchoge smashes World Record, Gladys Cherono sets Course Record and world lead". BMW Berlin Marathon. 16 Septemba 2018. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 Oktoba 2018. Iliwekwa mnamo 28 Oktoba 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Gladys Cherono". Tilastopaja. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Desemba 2013. Iliwekwa mnamo 28 Oktoba 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanariadha wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gladys Cherono Kiprono kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.