Gladys Boss Shollei
Mandhari
Gladys Jepkosgei Boss ni mwanasiasa wa Kenya ambaye kwa sasa ni Naibu Spika wa National Assembly of Kenya na pia ni Mwakilishi wa Wanawake wa Kaunti kwa Uasin Gishu County. Ni mwanachama wa United Democratic Alliance (Kenya) (UDA).
Maisha ya awali na elimu
[hariri | hariri chanzo]Gladys alipata Shahada ya Sheria (LL.B) kutoka University of Nairobi, pamoja na Stashahada ya Sheria kutoka Kenya School of Law. Aidha, alipata shahada ya uzamili kutoka University of Cape Town, na MBA kutoka Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology. [1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Kenya: Gladys Boss Sacked". All Africa. 18 Oktoba 2013. Iliwekwa mnamo 4 Agosti 2020.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "I was sacked unfairly, Gladys tells court in plaint". Daily Nation. 1 Novemba 2013. Iliwekwa mnamo 4 Agosti 2020.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanasiasa huyo wa Kenya bado ni mbegu. Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |