Nenda kwa yaliyomo

Gjela Biba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gjela Marku Biba alikuwa mwanasiasa katika Jamhuri ya Kisoshialisti ya Watu wa Albania. Mnamo mwaka 1982, akawa Naibu Mwenyekiti wa Bunge la Watu (Albania).[1]

  1. "BIBA, Gjela Marku". Who's who of women in world politics. 1991. uk. 25.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gjela Biba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.