Nenda kwa yaliyomo

Gizella Tetteh-Agbotui

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gizella Akushika Tetteh-Agbotui ni mhandisi wa majengo na mwanasiasa wa Ghana. Alishiriki katika uchaguzi mkuu wa Ghana wa 2020 na kushinda kiti cha bunge cha Awutu Senya West.[1][2]

  1. FM, Peace. "Awutu Senya West Constituency Results – Election 2020". Ghana Elections – Peace FM. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-03-29. Iliwekwa mnamo 2020-12-09.
  2. "Gizella cuts Andah to size to avenge sister Hanna Tetteh's 2016 Awutu Senya West defeat". GhanaWeb. (kwa Kiingereza). 2020-12-08. Iliwekwa mnamo 2020-12-09.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gizella Tetteh-Agbotui kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.