Giuseppe Siri
Mandhari

Giuseppe Siri (20 Mei 1906 – 2 Mei 1989) alikuwa kardinali wa Italia wa Kanisa Katoliki ambaye alihudumu kama Askofu Mkuu wa Genova kuanzia 1946 hadi 1987, na alipandishwa cheo kuwa kardinali mwaka 1953.
Alikuwa mfuasi wa Papa Pius XII na alishiriki katika Mtaguso wa pili wa Vatikani. Wakati mmoja, alichukuliwa kama mmoja wa wanaopendekezwa kwa nafasi ya Papa (papabile).[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ O'Riordan, S, The Third Session, The Furrow, Volume 15, No. 10 (October 1964), p. 621, accessed on 6 October 2024
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |