Giuseppe Pasotto
Mandhari
Giuseppe Pasotto (alizaliwa Bovolone, Italia, 6 Julai 1954) ni askofu wa Kanisa Katoliki.
Tangu mwaka 1996, amekuwa askofu wa Kanisa la Kilatini katika Utawala wa Kitume wa Kaukazi, akihudumu kama askofu kwa jamii za Watoliki nchini Georgia na Armenia. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ ACN (2022-02-17). "Msgr. Pasotto: a protagonist in the rebuilding of the Catholic Church in Georgia after the Communist era". ACN International (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-11-07.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |