Nenda kwa yaliyomo

Giuseppe Di Grande

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Giuseppe Di Grande (alizaliwa Siracusa, 7 Septemba 1973) ni mwanabaiskeli wa zamani wa barabara kutoka Italia.[1]

Katika Giro d'Italia ya mwaka 2001, Di Grande alinaswa akitumia dawa za kuongeza nguvu michezoni (doping). Pia alisimamishwa kwa miezi sita mwaka 2006. Mwaka 2003, hakuweza kushiriki mashindano kwa sababu ya msongo wa mawazo.

  1. "Giuseppe Di Grande". ProCyclingStats. Iliwekwa mnamo 11 Oktoba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Giuseppe Di Grande kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.