Giuseppe Bologna
Mandhari
Giuseppe Bologna (1634 – 2 Agosti 1697) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki ambaye alihudumu kama Askofu Mkuu wa Capua (1691–1697) na Askofu Mkuu wa Benevento (1674–1680).
Giuseppe Bologna alizaliwa Napoli, Italia mwaka 1634. Mnamo 12 Machi 1674, aliteuliwa wakati wa utawala wa Papa Klementi X kama Askofu Mkuu wa Benevento.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Archbishop Giuseppe Bologna" Catholic-Hierarchy.org. David M. Cheney. Retrieved August 17, 2016
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |