Giulio Sanguineti
Mandhari
Giulio Sanguineti (Lavagna, 20 Februari 1932 - Chiavari, 6 Novemba 2025) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Italia.
Tarehe 19 Julai 2007 alistaafu kama askofu wa Brescia. [1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "The priestly Jubilee of Bishop Sanguineti". webregioni.chiesacattolica.it. La Spezia.
- ↑ Cheney, David M. "Bishop Giulio Sanguineti [Catholic-Hierarchy]". www.catholic-hierarchy.org.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |