Nenda kwa yaliyomo

Giulio Maria della Somaglia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Giulio Maria della Somaglia (29 Julai 1744 – 2 Aprili 1830) alikuwa kardinali wa Italia na Katibu wa Jimbo chini ya Papa Leo XII. Alijulikana kama kardinali mkali, aliyesaidia kutekeleza utawala wa kiimla katika Dola la Papa zilizokuwa zinaporomoka.[1]

Della Somaglia alizaliwa Piacenza mwaka 1744, kwa Count Carlo Maria Cavazzia na Countess Marianna Fenaroli. Alikuwa mmoja wa watoto watano. Alitumwa Roma akiwa na umri wa miaka kumi na mbili na kusoma katika Collegio Nazzareno na Chuo Kikuu cha La Sapienza, ambako alipata shahada katika sheria za Kanisa na sheria za kiraia.

  1. ↑ "The Cardinals of the Holy Roman Church: Pope Pius VI (1775-1799)". Florida International University.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.