Giulio Antonio Santorio
Mandhari
Giulio Antonio Santorio (6 Juni 1532 – 9 Mei 1602) alikuwa Kardinali wa Italia wa Kanisa Katoliki. Santorio alizaliwa Caserta. Alihudumu kama Askofu Mkuu wa Santa Severina tangu 1566 hadi kifo chake.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Giulio Antonio Cardinal Santorio" Catholic-Hierarchy.org. David M. Cheney. Retrieved April 30, 2016
- ↑ "Cardinal Giulio Antonio Santorio" GCatholic.org. Gabriel Chow. Retrieved April 30, 2016
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |