Girolamo Seripando
Mandhari
Girolamo Seripando (Troja, Puglia, 6 Mei 1493 – Trento, 17 Machi 1563) alikuwa mtawa Mwaugustino, mwanateolojia na kardinali wa Italia. Alikuwa wa asili ya kiungwana, na wazazi wake walimkusudia apate taaluma ya sheria. Hata hivyo, baada ya kifo chao, akiwa na umri wa miaka kumi na nne, aliingia katika Shirika la Augustino, huko Viterbo, ambapo alisoma Kigiriki na Kiebrania pamoja na falsafa na teolojia.[1][2][3]
Maandishi muhimu zaidi
[hariri | hariri chanzo]- (Kilatini) (Venice, 1549)
- (Kilatini) (Naples, 1559)
- (Kiitalia) (Venice, 1567)
- (Kilatini) (Venice, 1569)
- (Kilatini) (Naples, 1601)
- (Kilatini) (Lyons, 1670)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Cesareo, Francesco C. (1997). "Penitential Sermons in Renaissance Italy: Girolamo Seripando and the Pater Noster". The Catholic Historical Review. 83 (1): 1–19. ISSN 0008-8080.
- ↑ "The Council of Trent: Reform and Controversy in Europe and Beyond (1545-1700) | V&R eLibrary". Refo500 Academic Studies (kwa Kiingereza). doi:10.13109/9783666551079. Iliwekwa mnamo 2022-10-03.
- ↑ Maxcey, Carl E. (1979). "Double Justice, Diego Laynez, and the Council of Trent". Church History. 48 (3): 269–278. doi:10.2307/3163982. ISSN 0009-6407.
Vyanzo
[hariri | hariri chanzo]- Louis Ellies du Pin, (Kifaransa) (Paris, 1703)
- Odorico Raynaldi and Mansi, Annales Ecclesiastici (Lucca, 1735–6)
- Johann Felix Ossinger, (Kilatini) (Ingolstadt, 1768)
This article incorporates text from a publication now in the public domain: Herbermann, Charles, mhr. (1913). . Catholic Encyclopedia. Robert Appleton Company.
{{cite encyclopedia}}
: Cite has empty unknown parameters:|1=
,|month=
, na|coauthors=
(help); Invalid|ref=harv
(help)- Miranda, Salvador. "SERIPANDO, O.E.S.A., Girolamo (1493-1563)". The Cardinals of the Holy Roman Church. Florida International University. OCLC 53276621.
- Abbondanza, Rocchina (1982). Girolamo Seripando tra Evangelismo e Riforma Cattolica. (Kiitalia). Naples: Editrice Ferraro 1982.
- Cesareo, Francesco C. (1999). A Shepherd in Their Midst: The Episcopacy of Girolamo Seripando (1554-1563). Augustinian Press, 1999.
- Jedin, Hubert (1947). Papal Legate at the Council of Trent: Cardinal Seripando. trans. Frederic C. Eckhoff (St. Louis: B. Herder, 1947).
- Olivier, D. (1968). "Les deux sermons sur la double et la triple justice," (Kifaransa). Öcumenica 3 (1968), pp. 39–69.
- Schmitz, Edwin F. (1955). Girolamo Seripando and Justification at the Council of Trent. St. Mary's Seminary (Baltimore, Md.), 1955.
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |