Nenda kwa yaliyomo

Girolamo Maria Gotti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Girolamo Maria Gotti, O.C.D. (29 Machi 1834 – 19 Machi 1916) alikuwa mtawa wa Shirika la Wakarmeli Peku (Discalced Carmelites), ambaye alihudumu katika nyadhifa mbalimbali za Makao Makuu ya Kanisa Katoliki (Vatikani) kama askofu na kardinali.

Mara nyingine jina lake huandikwa kimakosa kama Giuseppe Gotti.[1]

  1. "Gotti, OCD, Girolamo Maria". Cardinals of the Holy Roman Church. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-02-29. Iliwekwa mnamo 2025-02-26.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.