Giresun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 12:52, 11 Machi 2013 na Legobot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q201095 (translate me))
Kijiji cha Pınarlar katika Giresun

Giresun (Kigiriki: Κερασούντα, Pharnacia, Choerades) ni jina la mji mkuu wa Mkoa wa Giresun katika kaskazini-mashariki ya Ukanda wa Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki. Takriban 175 km kutoka magharibi mwa jiji la Trabzon. Mji una wakazi wapatao 90,000.

Historia

Tazama pia

Marejeo

Viungo vya Nje


Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Giresun kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.