Giovanni Urbani
Mandhari
Giovanni Urbani (26 Machi 1900 – 17 Septemba 1969) alikuwa Kardinali kutoka Italia wa Kanisa Katoliki.
Alikuwa Patriarki wa Venezia kuanzia mwaka 1958 hadi kifo chake, na alipewa cheo cha kardinali mwaka 1958. Alikuwa na sifa ya kutegemea sana washauri wake.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Election Trends". Time. 14 June 1963.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |