Giovanni Maria Tolosani
Mandhari

Giovanni Maria Tolosani (karibu 1471 – 22 Januari 1549) alikuwa mwanafalsafa wa Italia, mwandishi, na kiongozi wa shirika la Wadominiko katika konventi ya St. Mark huko Florence. Alikuwa pia mtaalamu wa hesabu na nyota.
Anajulikana zaidi kwa kuandika deni ya kwanza muhimu ya nadharia ya heliocentric ya Nicolaus Copernicus mwaka 1545.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "The Myth That Catholics Are Opposed to Science Revolves Around Copernicus". www.ncregister.com. Iliwekwa mnamo 28 Julai 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Giovanni Maria Tolosani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |