Nenda kwa yaliyomo

Giovanni Maria Sforza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Giovanni Maria Sforza (alifariki 1513) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki aliyewahi kuwa Askofu Mkuu wa Genova (14981513). Alizaliwa mwaka 1461 huko Milano, akiwa mtoto wa Francesco I Sforza na Brigida Caimi.

Mnamo 25 Machi 1498 aliteuliwa na Papa Alexander VI kuwa Askofu Mkuu wa Genova. Alihudumu katika nafasi hiyo hadi kifo chake mwaka 1513. [1]

  1. Cheney, David M. "Archbishop Giovanni Maria Sforza". Catholic-Hierarchy.org. Iliwekwa mnamo Juni 16, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.