Nenda kwa yaliyomo

Giovanni Lugari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Giovanni Battista Lugari (18 Februari 184631 Julai 1914) alikuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki ambaye, tangu alipokuwa kasisi karibu na umri wa miaka hamsini, alifanya kazi katika Curia ya Roma.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.