Giovanni Gravelli
Mandhari
Giovanni Gravelli (12 Machi 1922 – 11 Desemba 1981) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Italia aliyeshiriki katika huduma ya kidiplomasia ya Vatikani kuanzia mwaka 1950. Aliteuliwa kuwa askofu mkuu na Balozi wa Papa mwaka 1967.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Giovanni Gravelli". Visit Città Sant'Angelo. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 8 Julai 2019. Iliwekwa mnamo 10 Mei 2020.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |