Nenda kwa yaliyomo

Giovanni Antonio Serbelloni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Giovanni Antonio Serbelloni (Milano, 1519Roma, 1591) alikuwa askofu na kardinali wa Italia.[1]

Maisha yake

[hariri | hariri chanzo]

Giovanni Antonio Serbelloni alizaliwa katika familia maarufu. Alikuwa ndugu wa Gabrio (mwanajeshi na jenerali) na Giovan Battista (mwandamizi wa Castel Sant'Angelo na baadaye Askofu wa Cassano all'Ionio).

Mwaka 1541, huko Milano, alipokea tonsura na daraja ndogo nne, na hivyo kuwa kleri.[2]

  1. Menaresi, Cesare (1957). "La famiglia Serbelloni". Studi in onore di Carlo Castiglioni. Milano: Giuffrè. uk. 370.
  2. David Cheney. "Giovanni Antonio Cardinal Serbelloni". Catholic-Hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 3 Julai 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.