Nenda kwa yaliyomo

Giovanni Antonio Sangiorgio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Giovanni Antonio Sangiorgio (alizaliwa 14 Machi 1509) alikuwa mwanasheria na kardinali wa Italia.

Agostino Oldoino anamtaja kama mtaalamu mkuu wa sheria wa kipindi chake. Kenneth Pennington amemuita kama mmoja wa watafsiri wakuu wawili wa mwisho wa sheria za ukabaila.[1][2]

  1. From 1493; he was bishop of Frascati in 1503, bishop of Palestrina in 1507, bishop of Sabina in 1508.
  2. Ken Pennington, "The Development of Feudal Law in the Ius commune," in the article, "Law, Feudal," Dictionary of the Middle Ages: Supplement 1 (New York: Charles Scribner's Sons-Thompson-Gale, 2004), pp. 320-323. "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-11-11. Iliwekwa mnamo 2016-02-07.{{cite web}}: CS1 maint: archived copy as title (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.