Nenda kwa yaliyomo

Giovanni Andrea Bussi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Giovanni Andrea Bussi (pia anajulikana kama Giovan de' Bussi au Joannes Andreae; 14171475) alikuwa mhumanisti wa Italia wa kipindi cha Renaissance na Askofu wa Aleria kuanzia mwaka 1469. [1]

Alikuwa mhariri mkuu wa maandiko ya kale na alichapisha matoleo ya kwanza (editiones principes) ya vitabu vingi vya enzi hizo. Katika uhariri wake, alipanua dhana ya dibaji kutoka barua ya binafsi kwa mfadhili na kuifanya kuwa mhadhara wa umma, wakati mwingine akitumia kama jukwaa la ushawishi.

  1. Julia Haig Gaisser, The Fortunes of Apuleius and the Golden Ass: A Study in Transmission and Reception (Princeton: Princeton University Press, 2008), pp. 16062. The Apuleius was printed in 1469.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.