Giovanni Alessandro Brambilla
Mandhari
Giovanni Alessandro Brambilla, Baron wa Carpiano (15 Aprili 1728 – 30 Julai 1800 huko Padua) alikuwa tabibu binafsi wa Kaizari Joseph II wa Dola Takatifu la Roma na mkurugenzi wa kwanza wa Josephinian Military Academy of Surgery mjini Vienna.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Academies: Academies of medicine and surgery". Encyclopaedia Britannica (kwa Kiingereza). Juz. la 1 (tol. la 14). 1930. uk. 85.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Giovanni Alessandro Brambilla kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |