Giorgio Marengo
Mandhari
Giorgio Marengo, I.M.C. (alizaliwa 7 Juni 1974) ni askofu wa Italia katika Kanisa Katoliki ambaye ameteuliwa kuwa kardinali na Papa Fransisko mnamo 27 Agosti 2022.
Amekuwa Mkuu wa Kitume wa Ulaanbaatar, eneo la kimisionari linalojumuisha nchi yote ya Mongolia, tangu 2 Aprili 2020. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Povoledo, Elisabetta (29 Mei 2022). "Pope Francis Announces 21 New Cardinals". The New York Times. Iliwekwa mnamo 30 Mei 2022.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |