Nenda kwa yaliyomo

Giorgio Biguzzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Giorgio Biguzzi (4 Februari 19361 Julai 2024) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Italia.

Alihudumu kama askofu wa Makeni, Sierra Leone, kuanzia mwaka 1986 hadi 2012. Biguzzi alifariki katika mji wa Parma tarehe 1 Julai 2024, akiwa na umri wa miaka 88.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.